Kiterei

Kiterei ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waterei. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiterei imehesabiwa kuwa watu 26,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiterei iko katika kundi la Kibougainville ya Kusini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search